ABC

Kassam feat. Platform - Hapa
текст песни

3

0 человек. считает текст песни верным

0 человек считают текст песни неверным

Kassam feat. Platform - Hapa - оригинальный текст песни, перевод, видео

mmmmmh

Ati hakinai yangu mapenzi na ujuzi moyoni

nisalama

Yanii nipo kati na yeye kashanidhibiti mwingine wa nini

waniniiii

Leo sitaki penzi araka araka.

tufanye taratibu.

Leo tusitokwe jasho,

yaani taratibu.

tena tusiyafumbe macho,tutazamane Kwa ukaribu.

alafu nambie ukipendacho.

nianze shingo ama mbavu.

Kwa moyo wangu uko hapa.

hapa,hapa,hapa.

ah upo hapa

hapa,hapa.

kwa mtima umejaa

hapa,hapa,hapa.

eeeh aah upo hapa

hapa,hapa,hapa.

Kwa moyo wangu uko hapa.

hapa, hapa, hapa.

hapa,hapa.

hapa,hapa,hapa.

...............(instrument playing)

kassam

acha nikwambie,hizi hisia.

me nakupenda sana,na nimekuridhia.

wewe bila mie, mapenzi hakuna.

na tutachopanda ndo tutachovuna.

eeh,eeh

nikuache Mimi labda nimerogwa.

kichwani mwangu umenijaa.

ooh,ooh aah nakuota.

nikilala me nakuota.

sitaki penzi araka araka,

tufanye taratibu,

Leo tusitokwe jasho,

yaani taratibu.

tena tusiyafumbe macho,tutazamane Kwa ukaribu.

halafu nambie ukipendacho,

nianze shingo ama mbavu.

Kwa moyo wangu uko hapa,

hapa,hapa, hapa,

hapa, hapa,

hapa,hapa, hapa,

Kwa moyo wangu uko hapa,

hapa,hapa,hapa,

hapa,hapa.

hapa,hapa,hapa.

...............(instrument)
Верный ли текст песни?  Да | Нет